News

Katika kuhakikisha mila na desturi zinalindwa na kuwaepusha vijana kuiga tamaduni za kigeni, Mtemi Makwaiya wa tatu wa Busiya ...
Baada ya upelelezi kusuasua katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Jatu PLC, Peter Gasaya ...
Serikali imetakiwa kuunga mkono juhudi za wawekezaji ambao wameonyesha jitihada katika shughuli za maendeleo kwa kuboresha ...
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya imetupilia mbali shauri lililofunguliwa na mke wa kada wa Chama cha Demokrasia na ...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo anayeshughulikia masuala ya maendeleo ya mazao, usalama wa chakula pamoja na ushirika, Dk Stephen Nindi ametoa wito kwa wakulima kuyakumbuka mazao ya ...
Chama cha NCCR-Mageuzi kimekumbwa na mvutano wa kiuongozi, kufuatia madai kuwa aliyekuwa mwenyekiti wake, James Mbatia, ...
Biashara ya samaki mkoani Tanga imekuwa ngumu baada ya bidhaa hiyo kuadimika, huku wafanyabiashara wakilia kutokana na bei nayo kuongezeka kila kukicha.
Mtandao wa YouTube umetangaza kuja na sera mpya itakayogusa hadi eneo la malipo ambapo ili upate pesa lazima utengeneze video za uhalisia na sio za ubunifu kama za Akili Mnemba (AI).
Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma imemwita tena shahidi wa kwanza kwenye kesi ya kubaka kwa kundi na kumlawiti binti mkazi wa ...
Watu sita wamefikishwa katika Mahakama Kuu ya Zanzibar, wakishtakiwa kwa tuhuma za kumuua Sheikh Jabir Haidar Jabir.
Ingawa kulala pamoja na mtoto mdogo kitandani kunaweza kuwa na faida kama kuimarisha uhusiano wa karibu ‘bond’, kurahisisha huduma za usiku na amani kwa wazazi, tafiti zinaonyesha uamuzi ...
Mahakama ya Wilaya ya Geita, imemuhukumu kifungo cha maisha Deus Joseph baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumlawiti mtoto ...