Msimu wa Tamthiliya na Filamu za Televisheni za Beijing Afrika umezinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam, likiadhimisha miaka 10 ya ushirikiano thabiti kati ya China na Afrika kupitia sekta ya filamu.
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetoa kiasi cha Sh milioni 455.7 kwa ajili ya kusambaza mitungi ya gesi ipatayo 22,785 mkoani Tabora ukiwa na lengo la kuhamasisha na kuchochea matumizi ya nishati ...
Akiambatana na Bodi ya Wakurugenzi NCAA, mkuu wa Wilaya ya Handeni Wakili Albert Msando amewahakikishia wananchi wa Ngorongoro wanaohamia eneo hilo kuwa hali ya usalama ni shwari, nyumba zimekamilika, ...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imetoa orodha ya ‘Applications’ 69 zinazotoa mikopo ya fedha mtandaoni zilizofungiwa kujihusisha na huduma hiyo. Taarifa iliyotolewa na BoT leo Novemba 21,2024 imesema ...
Na Imani Nathaniel, Mtanzania Digital Kampuni ya Mawasiliano ya Halotel, imejitokeza kusaidia waathirika wa kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo kwa kutoa fedha kiasi cha Sh ...
President Samia Suluhu Hassan has rekindled the enduring vision of Tanzania’s founding father, Mwalimu Julius Nyerere, by ...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa ...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo anayeshughulikia Ushirika na Umwagiliaji, Dk. Suleiman Serera, amesema Serikali ...
Serikali imesema itaendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji ikiwemo kuboresha miundombinu ya umeme na usafirishaji na kutoa ...
Kampuni ya Mawasiliano ya Halotel, imejitokeza kusaidia waathirika wa kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo kwa kutoa fedha kiasi ...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THDRC) umehimiza serikali kuweka mifumo madhubuti ya usimamizi na ufuatiliaji wa ...