Mafuta ya kupikia kawaida hupata majina yao kutoka kwa karanga, mbegu, matunda, mimea au nafaka ambako hutoka, ama kwa kuponda, kukandamiza au kusindika. Chanzo cha picha, Getty images Katika ...
Shindano hili huvutia mioyo ya wapenzi wa wanyama ulimwenguni. Swali, kwa nini tunavutiwa na wanyama wabaya? Kwa mujibu wa mtaalamu wa wanyama kutoka Austria, Konrad Lorenz, binadamu huvutiwa na ...
Chanzo cha picha, Reuters Chanzo cha picha, EPA Chanzo cha picha, Reuters Televisheni ya taifa ya Iran imeangazia taarifa kutoka kwa IRGC (lslamic Revolution Guard Corps) ikithibitisha kuwa ...
Mwezi Januari 2015, Abdullah, mfalme wa Saudi Arabia mwenye umri wa miaka 90, alikuwa akifariki dunia hospitalini. Kaka yake wa kambo, Salman, alikuwa anakaribia kuwa mfalme - na mtoto anayependwa ...
Yote yalianza baada ya kusambaa kwa virusi vya Corona. Mkoromo ukawa hauvumiliki na Cecilia 35 hakupata usingizi. Alikuwa akimsukuma mwenzake, akijaribu kumfanya ageuke ili aache kukoroma ...
Uswidi haijashiriki katika vita vyovyote tangu 1814. Lakini baada ya kumalizika kwa Vita vya dunia vya pili, nchi hii ya zamani ya Kaskazini mwa Ulaya ambayo ilikuwa na msimamo wa wastani ...
Maelezo ya picha, Saratani ya uume si ya kawaida, hata hivyo inaonekana kuongezeka kwa kiwango cha kutisha katika miaka ya hivi karibuni. 11 Mei 2024 Mwaka 2018, João, mwenye umri wa miaka 63 ...
Wanadamu hustaajabishwa na kupatwa kwa jua, lakini wanyama wengine huhisije mchana unapogeuka kuwa usiku kwa muda mfupi? Katika matukio maalum sana, wakati hali inapokuwa sawa tu, mwezi huzuia jua ...
Kwa hiyo, ikiwa utajaribu jambo moja tu kuboresha hali yako ya kiakili na kimwili, inaweza kuwa vipi? Labda chai ya kijani ili kuongeza nguvu ya ubongo au kucheza michezo ya kuchangamsha ubongo ...
Wanajeshi wa Ufaransa hivi karibuni wamefukuzwa kutoka Niger na Mali na wengine wanafikiria kufuta mikataba ya enzi ya uhuru ambayo ilisababisha kuingilia kijeshi moja kwa moja kwa Ufaransa kati ...
Ikiwa umezingatia mawazo ya hivi punde juu ya ustawi na maisha marefu, utakuwa umeona kuongezeka kwa umakini katika hali ya mahusiano yetu. Watu walio na mitandao ya kijamii inayostawi ...
Kuuawa kwa Yahya Sinwar ni ushindi mkubwa zaidi wa Israel katika vita vyake dhidi ya Hamas huko Gaza. Kifo chake ni pigo kubwa kwa Hamas, shirika aliloligeuza kuwa jeshi la mapigano ambalo ...