Siku moja baada ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea uenyekiti wa chama hicho, ...
Kwa mujibu wa mkazi wa eneo hilo kwa takribani miaka 30, Mwajuma Shabani anaeleza Sinza halikuwa eneo lililochangamka na ...
Ripoti maalumu ya Mwananchi imebaini athari kubwa zinazotokana na wanyama hao katika mikoa ya Kilimanjaro na Singida. Tembo ...
“Mume wangu alipoteza maisha 1998, mtoto wangu wa tatu akafa mwaka 1999 hali yangu ilikua mbaya sana mwili ulidhoofika, ...
Ikifika saa 4 usiku leo, wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika Yanga watakuwa uwanjani kuvaana ...
SERIKALI imesema uwiano wa kikokotoo kwa sekta ya umma na binafsi ni suala linalozungumzika na tayari imeelekeza Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii ...