Miezi minne kabla ya mkataba wake na PAOK kumalizika, mshambuliaji Mbwana Samatta ameanza kuichonganisha timu hiyo na mashabiki wake. Moto ambao ameanza kuuwasha katika mechi za hivi karibuni, unaweza ...