Moja ya vipindi maarufu karibu kila redio nchini kwa sasa ina kipindi cha muziki wa zamani, vipindi hivyo vina majina ya ...
Nyimbo za zamani za Rwanda bado zina mvuto?. Hili ni swali ambalo wapenzi wa muziki wa Rwanda wanajiuliza kufuatia wananchi wengi kushabikia na kuvutiwa zaidi na muziki wa zamani kuliko muziki wa ...
Kwa kipindi cha miaka sita ambacho amekua DJ toka alipohitimu mafunzo ya miezi mitatu Dj dolla hufurahia zaidi kupiga nyimbo za zamani na afro pop. Akiwa jijini Arusha Eagan Salla alizungumza naye ...
Kutokana na soko la muziki Bongo kwa sasa kuzitaka nyimbo za amapiano, mwimbaji wa taarabu, Mzee Yusuph, amesema anafikiria ...