Rais hafai kuwa mwoga kumchagua mrithi wake na neno lake litakuwa la mwisho'',alisema bi Grace Mugabe. Bwana Mugabe ndio kiongozi mzee zaidi na chama chake cha ZANU PF kimemchagua kuwania urais ...